KusaidianaNIMR Mwanza
← Rudi kwenye kuingia KUSAIDIANA KWENYE SIMU

Chagua simu yako.
Endelea na umoja.

Fungua huduma za Kikundi cha Kusaidiana NIMR Mwanza moja kwa moja kutoka kwenye skrini ya simu yako.

Toleo jipya1.7.0Android · 22/08/2026
Kusaidiana NIMR Mwanza
01
WATUMIAJI WA ANDROID

Pakua APK

Pakua faili rasmi ya Kusaidiana NIMR Mwanza na uisakinishe kwenye simu yako ya Android.

Pakua Android AppAPK · Toleo 1.7.0
  1. 1
    Pakua APKBonyeza kitufe cha kupakua hapo juu.
  2. 2
    Ruhusu usakinishajiAndroid ikiuliza, ruhusu “Install unknown apps” kwa browser yako.
  3. 3
    Bonyeza InstallFungua APK iliyopakuliwa kisha kamilisha usakinishaji.
02
WATUMIAJI WA IPHONE

Weka kwenye Home Screen

Huhitaji App Store. Tumia Safari kuweka mfumo kama app kwenye skrini ya iPhone.

Fungua mfumo kwa Safari kusaidiana-nimrmza
.co.tz
  1. 1
    Fungua kwa SafariTembelea anuani iliyo hapo juu kwa browser ya Safari.
  2. 2
    Bonyeza ShareTafuta alama ya kisanduku chenye mshale unaoelekea juu.
  3. 3
    Chagua Add to Home ScreenSogeza orodha ikiwa chaguo hilo halionekani mara moja.
  4. 4
    Bonyeza AddApp itaonekana kwenye Home Screen ya iPhone.
URL rasmi na salama

App na iPhone shortcut zote zinafungua mfumo kupitia HTTPS: kusaidiana-nimrmza.co.tz